Makanisa ya Kristo ya Mungu

[C3]

Miandamo ya Mwezi na Kalenda ya Siku Takatifu

(Toleo la  3.0 19970523-20040306)

Christian Churches of God

PO Box 369,  WODEN  ACT 2606,  AUSTRALIA

Email: secretary@ccg.org

(Copyright ©1997, 1999, 2004 Christian Churches of God)

Masomo haya yanaruhusiwa kunukuliwa na kuwagawia watu bure ikiwa tu kama yatanukuliwa kikamilifu bila kubadilisha au kutufa maneno. Jina la mchapishaji na anuami yake pamoja na hati miliki ni lazima iwekwe pia. Hakuna malipo atakayotakiwa mpewaji kutoa au kuchangia kwa ajili ya nakala yoyote atakayopewa. Nukuu fupi zaweza kuwekwa toka kokote ikiwa zitafaa kukithi haja ya maelezo na kilugha lakini bila kukiuka maadili ya sheria ya hati miliki.

Masomo haya pia yanapatikana Ulimwenguni kote katika tovuti yetu ya:

http://www.login.org au http://www.ccg.org

Miandamo ya Mwezi na Kalenda ya Siku Takatifu [C3]


Shirika hili la Makanisa ya Kikristo ya Mungu huadhimisha na kuzishika Sabato za kila juma, Miandamo ya Mwezi Mpya, na Siku Takatifu za kila mwaka kwa mujibu wa vile maandiko ya Biblia yanavyoagiza. Ili kuweza kujifunza na kupata taarifa zake zaidi, tafadhali angalia kwenye jarida lenye kichwa cha Kalenda ya Mungu (Na. 156). Kalenda ya Mungu iko rahisi. Mianmdamo ya Mwezi Mpya kwa mujibu wa mwunganiko wake asilia unaanzia kwenye mwanzo wa miezi. Mwaka unaanzia siku ya 1 Nisan.

Mwandamo wa Mwezi Mpya ulio karibu sana na kipindi cha majira ya usiku na mchana kuwa na urefu sawa katika mwaka mfupi ndio unaotumika katika kuamua mwanzo wa mwaka katika mwezi wa Nisan. Pasaka ya siku ya 15 ya mwezi wa Nisan lazima kila wakati iwe ni baada ya kipindi hiki cha urefu wa mchana na usiku kuwa na masaa sawa sawa—siku ya 14 Nisan izaweza kuangukia katika siku hii inayofanana urefu wa masaa ya usiku na mchana lakini siku ya 15 Nisan haiwezi kuwa hivyo. Jinsi ya kuutendea kazi utaratibu huu itaamua ni wakati gani ambo ule mwezi unaozidi kawaida yaani wa kumi na tatu utaweza kuongezewa.

Tunakubaliana na utaratibu unaotumiwa katika kuhesabu wa Kalenda kama unavyotokea huko Yerusalemu na hivyo hulinda uwepo wake wndelevu usiotofautiana ulimwenguni kote.

Baadhi ya majarida ya ziada unayoweza kujisomea ni haya yafuatayo:

·        Ishara ya Yona na Historia ya Ujenzi Mpya wa Hekalu [013]

·        Sabato [031]

·        Siku Takatifu za Mungu [097]

·        Pasaka [098]

·        Ushirika wa Meza ya Bwana [103]

·        Sadaka ya Mganda wa Kutikiswa [106b]

·        Pasaka Kuu Saba za Kwenye Biblia (Na. 107)

·        Pentekoste ya Sinai [115]

·        Mavuno ya Mungu, Dhabihu za Mwandamo wa Mwezi na wale 144,000 [120]

·        Miandamo ya Mwezi Mpya [125]

·        Miandamo ya Mwezi Mpya katika Israeli [132]

·        Baragumu [136]

·        Upatanisho [138]

·        Kutaniko [139]

·        Ufufuo wa Wafu [143]

·        Wimbo Ulio Bora [145]

·        Jinsi ya Kupata Kipindi cha Kusulibiwa na Kufufuka kwa Yesu [159]

·        Kipimo cha Kuhesabu Kufikia Pentekoset [173]

·        Uhusiano ya Mwezi wa Tishri na siku ambayo masaa ya Usiku na mchana huwa na urefu sawa [175]

·        Mji wa Mungu [180]

·        Majumbe wa Mungu [184]

·        Yeroboam na Kalenda ya Hilleli [191]

·        Kalendar na Mwezi: Je, ni Kuahirishwe au Ifanyike Sikukuu? [195]

·        Ufafanuzi kuhusiana na Mafundisho ya Ukiri wa Imani ya UCG Kuhusiana na Kalenda [206]

·        Mwezi na Mwaka Mpya [213]

·        Kwa nini Pasoka Ilichelewa Mwaka 1997? [239]

·        Mabishano kuhusu Adhimisho la Mara moja tu kwa Mwaka [277]

Kwenye jedwali linalofuatia hapo chili, Kipindi cha Kuishia Mwisho wa zamu ya Jioni au Jua kupunga [yaani EENT (au End Evening Nautical Twilight)] kimejumuishwa ili kuweza kuijua siku zile ambazo Mwandamo wa Mwezi Mpya hakika unatokea. Nykati au masaa yote yanatuama au kutegemea na vyanzo vya kitaalamu kutoka kwa mashirika yafuatayo ya Marekani na Australia ambayo ni U.S. Naval Observatory na the Australian Surveying & Land Information Group (AUSLIG).


2004

(Siku ya kulingana kwa Masaa (equinox):itakuwa ni tarehe 20 Machi 2004 @ 2:50 Asubuhi)

Mwandamo wa Mwezi kwa saa za Yerusalemu

Jua kupunga huko Yerusalem

Mwandamo wa Mwezi na Siku Nyingine za Kuadhimisha


= Tarehe za Kibiblia

21 Januari 2004  5:05Usiku

11:58 jioni

Alhamisi 22 Januari 2004

1 Shebat       Mwezi wa 11

20 Februari 2004 5:18 Asubuhi

12:22 jioni

Ijumaa 20 Februari 2004

1 Adar           Mwezi wa 12

21 Machi 2004   6:41 Usiku

12:44 jioni

Jumapili 21 Mach 2004

1 Nisan = Mwaka Mpya Mwezi wa 1

Mwaka wa 27 wa Yubile ya 120

****

****

Jumamosi 27 Machi 2004

7 Nisan = Siku ya Utakaso

****

****

Jumamosi 3 Aprili 2004

(jioni ya siku za mwanzo

14 Nisan = Siku ya Meza ya Bwana

****

****

Sunday 4 April 2004

(Evening of previous day)

15 Nisan = Pasaka (NTBMR)

****

****

Jumapili 4 Aprili 2004

15 Nisan = Siku ya Kwanza ya Mikate Isiyotiwa Chachu

****

****

Jumapili 4 Aprili 2004

Siku ya Mganda wa Kutikiswa (3:00 Asubuhi)

****

****

Jumamosi 10 Aprili 2004

21 Nisan = Siku ya Mwisho ya Idi ya Mikaye Isiyotiwa chachu

19 Aprili 2004 9:21 Mchana

1:06 jioni

Jumatatu 19 Aprili 2004

1 Iyar              Mwezi wa 2

19 Mei 2004   12:52 Asubuhi

1:31 jioni

Jumatano 19 Mei 2004

1 Sivan           Mwezi wa 3

****

****

Jumapili 23 Mei 2004

Ibada ya Pentekoste (3:00 Asb)

17 Juni 2004  4:27 Usiku

1:49 jioni

Ijumaa 18 Juni 2004

1 Tammuz  Mwezi wa 4

17 Julai 2004   7:24 Mchana

1:45 jioni

jumamosi 17 Julai 2004

1 Ab            Mwezi wa 5

16 Augost 2004  9:24 Usiku

1:18 jioni

Jumatatu 16 Augost 2004

1 Elul          Mwezi wa 6

14:Septemba 2004 10:29 Mchana

12:39 jioni

Alhamisi 14 Septemba 2004

1 Tishri=Baragumu Mwezi wa 7

****

****

Alhamisi 23 Septemba 2004

10 Tishri = Siku ya Upatanisho

****

****

Jumatatu jioni

27 Septemba 2004

Siku ya Kutaniko

****

****

Alhamisi 28 Septemba 2004

15 Tishri = Idi ya Vibanda

****

****

Alhamisi 5 Oktoba 2004

22 Tishri = Siku Iliyokuu ya Mwisho

14 Octoba 2004  10:48 Asubuhi

12:01 jioni

Alhamisi 14 Oktoba 2004

1 Heshvan     Mwezi wa 8

12Novemba 2004 10:27Mchana

11:37 jioni

Ijumaa 12 Novemba 2004

1 Kislev         Mwezi wa 9

12 Desemba 2004 9:29 Usiku

11:33 jioni

Jumapili 12 Desemba 2004

1 Tebeth        Mwezi wa 10

2005

(Siku ya kulingana kwa Masaa (equinox):itakuwa ni tarehe 20 Machi 2005 @ 8:34 Mchana)

Mwandamo wa Mwezi kwa saa za Yerusalemu

Jua kupunga huko Yerusalem

Mwandamo wa Mwezi na Siku Nyingine za Kuadhimisha


= Tarehe za Kibiblia

10 Januari 2005 8:03 Mchana

11:50 Jioni

Jumatatu 10 Januari 2005

1 Shebat       Mwezi wa 11

9 Februari 2005  6:28 Usiku

12:14 Jioni

Jumatano  9 Februari 2005

1 Adar           Mwezi wa 12

10 Machi 2005 5:10 Asubuhi

12:36 Jioni

Alhamisi 10 Machi 2005

1 Nisan = Mwaka Mpya Mwezi wa 1

Mwaka wa 28 wa Yubile ya 120

****

****

Jumatano  16 Machi 2005

7 Nisan = Siku ya Utakaso

****

****

Jumatano  23 Machi 2005

(Jioni ya siku ya thamani)

14 Nisan = Siku ya Meza ya Bwana

****

****

Alhamisi 24 Machi 2005

(Joni ya siku ya thamani)

15 Nisan = Pasaka (NTBMR)

****

****

Alhamisi 24 Machi 2005

15 Nisan = Siku ya Kwanza ya Mikate Isiyotiwa Chachu

****

****

Jumapili 7 Machi 2005

Siku ya Mganda wa Kutikiswa (3:00 Asubuhi)

****

****

Jumatano  30 Machi2005

21 Nisan = Siku ya Mwisho ya Idi ya Mikaye Isiyotiwa chachu

8 Aprili 2005 4:32 Usiku

12:57 Jioni

jumamosi 9 Aprili2005

1 Iyar              Mwezy wa 2

8 Mei 2005  4:45 Asubuhi

1:22 Jioni

Jumapili Mei 2005

1 Sivan           Mwezi wa 3

****

****

Jumapili 5 Mei 2005

Ibada ya Pentekoste (3:00 Asb)

6 Juni 2005    5:55 Usiku

1:44 Jioni

Jumanne 7 Juni 2005

1 Tammuz  Mwezi wa 4

6 Julai 2005    8:02 Alasiri

1:50 Jioni

Jumatano  6 Julai 2005

1 Ab            Mwezi wa 5

5 Augost 2005 11:05 Alfajiri

1:30 Jioni

Ijumaa 5 Augost 2005

1 Elul          Mwezi wa 6

3 Septemba 2005 2:45 Usiku

12:55 Jioni

Jumapili Septemba 2005

1 Tishri=Baragumu Mwezi wa 7

****

****

Jumanne 13 Septemba 2005

10 Tishri = Siku ya Upatanisho

****

****

Jumamosi jioni, 17 Septemba 2005

Siku ya Kutaniko

****

****

Jumapili  Septemba 2005

15 Tishri = Idi ya Vibanda

****

****

Jumapili 5Septemba 2005

22 Tishri = Siku Iliyokuu ya Mwisho

3 Oktoba 2005  6:28 Alfajiri

12:15 Jioni

Jumatatu 3 Oktoba 2005

1 Heshvan     Mwezi wa 8

2 Novemba 2005     9:24 Alfajiri

11:43 Jioni

Jumatano  2 Novemba 2005

1 Kislev         Mwezi wa 9

1 Desemba 2005   11:01 Jioni

11:32 Jioni

Alhamisi 1 Desemba 2005

1 Tebeth        Mwezi wa 10

31 Desemba 2005 11:12 Alfajiri

11:43 Jioni

Jumamosi 31Desemba 2005

1 Shebat         Mwezi wa 11

2006

(Siku ya kulingana kwa Masaa (equinox):itakuwa ni tarehe 20 Machi 2006 @ 2:26 Usiku)

Mwandamo wa Mwezi kwa saa za Yerusalemu

Jua kupunga huko Yerusalem

Mwandamo wa Mwezi na Siku Nyingine za Kuadhimisha


= Tarehe za Kibiblia

29 Januari 06     10:15 Jioni

12:05 Jioni

Jumapili 29 Januari

1 Adar           Mwezi wa 12

28 Februari 06   8:31 Alfajiri

12:29 Jioni

Jumanne 28 Februari

1 Adar II        Mwezi wa 13

****

****

Jumatatu 20 Marchi

Siku ambayo majira ya mchana na usiku huwa sawa

29 Machi 06      6:15 Mchana

12:50 Jioni

Jumatano 29 Marchi

1 Nisan = Mwaka Mpya Mwezi wa 1

mwaka wa 29 wa Yubile ya 120

****

****

Jumanne 04 Aprili

7 Nisan         Siku ya Utakaso

****

****

Jumanne 11 Aprili

(Jioni ya siku ya furaha)

14 Nisan            Meza ya Bwana

****

****

Jumatano 12 Aprili

(Jioni ya siku ya thamani)

15 Nisan        Pasaka /NTBMR

****

****

Jumapili 16 Aprili

Siku ya Mganda wa Kuitikiswa (saa 3:00 Asubuhi)

****

****

Alhamisi 18 Aprili

21 Nisan          Siku ya Mwisho ya Mikate Isiyotiwa Chachu

27 Aprili 06        3:44 Usiku

1:12 Jioni

Ijumaa 28 Aprili

1 Iyar                Mwezi wa 2

27 Mei 06          1:2 Asubuhi

1:38 Jioni

Jumamosi 27 Mei

1 Sivan             Mwezi wa 3

****

****

Jumapili 04 Juni

Pentekoste (saa 3:00 Asubuhi)

25 Juni 06         2:05 Asubuhi

1:51 Jioni

Jumapili 25 Juni

1 Tammuz         Mwezi wa 4

25 Julai 06         12:31 Asubuhi

1:40 Jioni

Jumanne 25 Julai

1 Ab                    Mwezi wa 5

23 Augost 06     3:10 Jioni

1:09 Jioni

Alhamisi 24 Augost

1 Elul                   Mwezi wa 6

22 Septemba 06   7:45 Mchana

12:29 Jioni

Ijumaa 22 Septemba

1 Tishri = Baragumu Mwezi wa 7

****

****

Jumapili 01 Oktoba

10 Tishri     Siku ya Upatanisho

****

****

Ijumaa 06 Oktoba

(Jioni ya siku ya thamani)

Siku ya Kutaniko

****

****

Ijumaa 06 Oktoba

15 Tishri      Idi ya Vibanda

****

****

Ijumaa 13 Oktoba

22 Tishri = …….Siku Iliyokuu ya Mwisho

22 Oktoba 06     1:14 Asubuhi

11:53 Jioni

Jumapili 22 Oktoba

1 Heshvan        Mwezi wa 8

21 Novemba 06    6:18 Usiku wa manane

11:33 Jioni

Alhamisi 21 Novemba

1 Kislev             Mwezi wa 9

20 Desemba 06    10:01 Jioni

11:37 Jioni

Jumatano 20 Desemba

1 Tebeth            Mwezi wa 10

2007

(Siku ya kulingana kwa Masaa (equinox):itakuwa ni tarehe 21 Machi 2007 @ 8:07 Alfajiri)

Mwandamo wa Mwezi kwa saa za Yerusalemu

Jua kupunga huko Yerusalem

Mwandamo wa Mwezi na Siku Nyingine za Kuadhimisha


= Tarehe za Kibiblia

19 Januari 07     12:01  Asubuhi

11:57 Jioni

Ijumaa 19 Januari

1 Shebat                Mwezi wa 11

17 Februari 07    12:14 Jioni

12:20 Jioni

Jumamosi 17 Februari

1 Adar                    Mwezi wa 12t

19 March 07       10:43 Alfajiri

12:42 Jioni

Jumatatu 19 Marchi

1 Nisan = Mwaka Mpya   Mwezi wa 1 Mwaka wa 30 wa Yubile ya 120

****

****

Jumatano 21 Marchi

Vernal Equinox

****

****

Jumapili 25 Marchi

7 Nisan         Siku Ya Utakaso

****

****

Jumapili  01 Aprili

(Jioni ya siku ya thamani)

14 Nisan        Meza ya Bwana

****

****

Jumatatu 02 Aprili

(Jioni ya siku ya thamani)

15 Nisan     Pasaka /NTBMR

****

****

Jumapili 08 Aprili

Siku ya Mganda wa Kuitikiswa (saa 3:00 Asubuhi)

****

****

Jumapili 08 Aprili

21 Nisan   Siku ya Mwisho ya Mikate Isiyotiwa Chachu

17 Aprili 07   7:36 Alasiri

1:04 Jioni

Jumanne 17 Aprili

1 Iyar                Mwezi wa 2

16 Mei 07   3:27 Jioni

1:29 Jioni

Alhamisi 17 Mei

1 Sivan            Mwezi wa 3

****

****

Sunday 27 May

Pentekoste (saa 3:00 Asubuhi)

15 Juni 07   11:13 Alfajiri

1:48 Jioni

Ijumaa 15 Juni

1 Tammuz           Mwezi wa 4

14 Julai 07   8:04 Alasiri

1:47 Jioni

Jumamosi 14 Julai

1 Ab                     Mwezi wa 5

13 Augost 07     7:02 Alfajiri

1:22 Jioni

Jumatatu 13 Augost

1 Elul                   Mwezi wa 6

11 Septemba 07  10:44 Jioni

12:44 Jioni

Jumanne 11 Septemba

1 Tishri = Baragumu Mwezi wa 7

****

****

Alhamisi 20 Septemba

10 Tishri         Siku ya Upatanisho

****

****

Jumanne 25 Septemba

(Jioni ya siku ya thamani)

Siku ya Kutaniko

****

****

Jumanne 25 Septemba

15 Tishri        Idi ya Vibanda

****

****

Jumanne 02 Oktoba

22 Tishri    Siku Iliyokuu ya Mwisho

11 Oktoba 07        1:01 Asubuhi

12:05 Jioni

Alhamisi 11 Oktoba

1 Heshvan       Mwezi wa 8

10 Novemba 07     7:03 Alfajiri

11:38 Jioni

Jumamosi 10 Novemba

1Kislev            Mwezi wa 9

09 Desemba 07    1:40 Jioni

11:32 Jioni

Jumatatu 10 Desemba

1 Tebeth        Mwezi wa 10

2008

(Siku ya kulingana kwa Masaa (equinox):itakuwa ni tarehe 20 Machi 2008 @ 1:48 Alfajiri)

Mwaka wa Kutoa Zaka ya Tatu

Mwandamo wa Mwezi kwa saa za Yerusalemu

Jua kupunga huko Yerusalem

Mwandamo wa Mwezi na Siku Nyingine za Kuadhimisha


= Tarehe za Kibiblia

08 Januari 08       7:37 Alasiri

11:48 Jioni

Jumanne 08 Januari

1 Shebat           Mwezi wa 11

07 Februari 08     11:44 Alfajiri

12:12 Jioni

Alhamisi 07 Februari

1 Adar               Mwezi wa 12

07 Marchi 08      1:14 Jioni

12:34 Jioni

Jumamosi 08 Marchi

1 Nisan = Mwaka Mpya   Mwezi wa 1, Mwaka wa 31 wa Yubile ya 120

****

****

Ijumaa 14 Marchi

7 Nisan           Siku Ya Utakaso

****

****

Alhamisi 20 Marchi

Siku ya masaa ya usiku na mchana kuwa sawa

****

****

Ijumaa 21 Marchi

(Jioni ya siku ya thamani)

14 Nisan          Meza ya Bwana

****

****

Jumamosi 22 Marchi

(Jioni ya siku ya thamani)

15 Nisan         Pasaka/NTBMR

****

****

Jumapili 23 Marchi

Siku ya Mganda wa Kuitikiswa (saa 3:00 Asubuhi)

****

****

Ijumaa 28 Marchi

21 Nisan      Siku ya Mwisho ya Mikate Isiyotiwa Chachu

06 Aprili 08   11:55 Alfajiri

12:56 Jioni

Jumapili 06 Aprili

1 Iyar                 Mwezi wa 2

05 Mei 08   10:18 Jioni

1:20 Jioni

Jumatatu 05 Mei

1 Sivan              Mwezi wa 3

****

****

Jumapili 11 Mei

Pentekoste (saa 3:00 Asubuhi)

03 Juni 08   3:23 Usiku

1:43 Jioni

Jumatano 04 Juni

1 Tammuz            Mwezi wa 4

03 Julai 08      10:19  Alfajiri

1:51 Jioni

Alhamisi 03 Julai

1 Ab                   Mwezi wa 5

01 Augost 08 6:13 Mchanai

1:34 Jioni

Ijumaa 01 Augost

1 Elul                 Mwezi wa 6

30 Augost 08 3:58 Usiku

1:00 Jioni

Jumapili 31 Augost

1 Tishri = Baragumu Mwezi wa 7

****

****

Jumanne 09 Septemba

10 Tishri         Siku ya Upatanisho

****

****

Jumapili 14 Septemba

(Jioni ya siku ya thamani)

Siku ya Kutaniko

****

****

Jumapili 14 Septemba

15 Tishri        Idi ya Vibanda

****

****

Jumapili 21 Septemba

22 Tishri      Siku Iliyokuu ya Mwisho

29 Septemba 08  4:12 Asubuhi

12:19 Jioni

Jumatatu 29 Septemba

1 Heshvan         Mwezi wa 8

29 Oktoba 08       7:14 Usiku

11:46 Jioni

Jumatano 29 Oktoba

1 Kislev             Mwezi wa 9

27 Novemba 08   12:55 Jioni

11:32 Jioni

Ijumaa 28 Novemba

1 Tebeth           Mwezi wa 10

27 Desemba 08    8:22 Alasiri

11:40 Jioni

Jumamosi 27 Desemba

1 Shebat           Mwezi wa 11

2009

(Siku ya kulingana kwa Masaa (equinox):itakuwa ni tarehe 20 Machi 2009 @ 8:50 Alfajiri)

Mwandamo wa Mwezi kwa saa za Yerusalemu

Jua kupunga huko Yerusalem

Mwandamo wa Mwezi na Siku Nyingine za Kuadhimisha


=
Tarehe za Kibiblia

26 Januari 09       3:55 Alfajiri

12:04 Jioni

Jumatatu 26 Januari

1 Adar             Mwezi wa 12

25 Februari 09   9:35 Alfajiri

12:27 Jioni

Jumatano 25 Februari

1 Adar II           Mwezi wa 13

****

****

Ijumaa 20 Marchi

Vernal Equinox

26 Marchi 09      12:06 Jioni

12:47 Jioni

Alhamisi 26 Marchi

1 Nisan = Mwaka Mpya   Mwezi wa 1 Mwaka wa 32 wa Yubile ya 120

****

****

Jumatano 01 Aprili

7 Nisan          Siku ya Utakaso

****

****

Jumatano 08 Aprili

(Jioni ya siku ya thamani)

14 Nisan        Meza ya Bwana                                                                                                 Supper                                                                                                        Supp

****

****

Alhamisi 09 Aprili

(Jioni ya siku ya thamani)

15 Nisan       Pasaka/NTBMR

****

****

Jumapili 12 Aprili

Siku ya Mganda wa Kutikiswa (3:00 Asubuhi)

****

****

Jumatano 15 Aprili

21 Nisan         Siku ya Mwisho ya Mikate Isiyo na Chachu

25 Aprili 09   11:23 Alfajiri

1:10 Jioni

Jumamosi 25 Aprili

1 Iyar                 Mwe